The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 777
- 1,590
Soon picha inashusha. Hakuna kujificha Tena😤
Maneno kidogo..Soon picha inashusha. Hakuna kujificha Tena😤
Wapi?Haya mie nimepita naked 🤣
Shemeji yangu mzuri mzuri 😍
Edit hii comment picha itoke😅Solid
Shemeji yangu mzuri mzuri 😍
Umemaliza jioni yangu safi kabisa! Haya nitoe komwe sasa nikale vituz..
Uweke emoji ili iweje ntakusemea🤣🤣
Ngoja nipite kabla hawajawa wengi😁Ukiwa unapita unitag shemela.
Sitak cha pm 😂😂😂😂 nataka hapa wazi wazi.
Maana ww ndio umeni-inspire kupita huu mtaa. Mm nilikuwa sipiti.
Oooops 😞😞😞 asipoedit picga inabak. Hata kama mm nishafuta comment yangu.Edit hii comment picha itoke😅
Ndio shem lakeOooops 😞😞😞 asipoedit picga inabak. Hata kama mm nishafuta comment yangu.
NataniaWapi?
Dah! Haya bana.Castle_Lite sisemi kitu nisije onekana wa ajabu 🤣
Kwahiyo sisi tulionenepa ni ngurue😭😭😭😭Seran Looking hoooooooot shemela. Umbo zuri sana unalo. Usiongeze wala kupungua zaid ya hapo.
Mashallaaah. 😍😍😍😍😍.
Finally. Dakika za jiooon. Someone made my day.
M humble.
Kwahiyo sisi tulionenepa ni ngurue😭😭😭😭
Tuliaaa😀😀Kwan Umenenepa sana?.
Si unajua babu yenu nina Presha Mjukuu 🤪Mzee unanitaka niongee mambo sitaki ongea, hebu tulia kwanza😁
Wajukuu hawajakuoneaga tu huruma mpaka leo mzee😁Si unajua babu yenu nina Presha Mjukuu 🤪
Kuwa na huruma na Wazee 🤭