Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanja niko sekondari, kwahiyo ephen umetunza picha yangu sio😂 mapua hayo yamepanuka ndio uweke humu? Acha basi🥹
Unakumbuka picha yako ulivyonitumia? Nimeenda kutoa emoj, siku tukikutana barabarani ukisikia nimekuita seran basi ujue ndo mimi😂
 
Unakumbuka picha yako ulivyonitumia? Nimeenda kutoa emoj, siku tukikutana barabarani ukisikia nimekuita seran basi ujue ndo mimi😂
We nyoko wewe🥹 kwanini unanitesa hivi ephen😭
 
Back
Top Bottom