ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,992
- 40,117
🤣🤣🤣Hmm hapana aisee, katabaki kakipumbavu
Hata mimi ndio kilichobakitu mi sitaki twa hivyo😁 status ni selfie tu
🤣🤣🤣Hmm hapana aisee, katabaki kakipumbavu
Hata mimi ndio kilichobakitu mi sitaki twa hivyo😁 status ni selfie tu
Natamani ningekuwa na meno Mjukuu, nimechoka kunywa mchuzi tupu Kila siku 🤭Tulia mzee usizue taharuki 😄
Mama amesema mniwekee katuni hata kama umeme umekatika, yani nakatia kerebu moja mamaake anakuja mbiombio🤣😅😅😅 mama amesema mniache nilale
Kwanini sasa ulie bhna 😢Aisee😂,nimelia sana😁
Kuwa na huruma na Wazee 🤗Sheenziiiiii🤣🤣🤣
Dahh shem Ajazilize sasa mzigo😁🤣🤣🤣
Hata mimi ndio kilichobaki
Sawa. Ukipita leo na mm napita .Ni wewe na kumbukumbu zangu vizuri sana
Mzee unanitaka niongee mambo sitaki ongea, hebu tulia kwanza😁Natamani ningekuwa na meno Mjukuu, nimechoka kunywa mchuzi tupu Kila siku 🤭
Mzee mwenyewe wewe unataka kila mjukuu akuletee kiko utakufa vibaya nakuhurumia😎😏Kuwa na huruma na Wazee 🤗
Eti ingekuwa malaya🙄Kwanini sasa ulie bhna 😢
Zee la totoz, acha wajukuu wambless bwana🤣Mzee mwenyewe wewe unataka kila mjukuu akuletee kiko utakufa vibaya nakuhurumia😎😏
😅😅😅 unataka kuniua nitasema kwa mamaMama amesema mniwekee katuni hata kama umeme umekatika, yani nakatia kerebu moja mamaake anakuja mbiombio🤣
Hana baya na anavyopenda kuyachapa makofi🤣🤣 yakijazilizia yeye burudani akati mimi naogopa kua mshangaziDahh shem Ajazilize sasa mzigo😁
Hilii zee ni la kulikalia mbali sana 🤣Zee la totoz, acha wajukuu wambless bwana🤣
Wewe ndio una utani na mimi, haina part 2Umeanza utani na mimi?
Em pita hapa nione Mungu alivyo fundi..!
Wewe ndio una utani na mimi, haina part 2Umeanza utani na mimi?
Em pita hapa nione Mungu alivyo fundi..!
Old is gold, namsikia jnature kwa mbaliWewe ndio una utani na mimi, haina part 2
Ukisema tena kipondo kiko palepale😎😅😅😅 unataka kuniua nitasema kwa mama