Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,927
Ndio dogo.
Mualiko vipi sasa[emoji1745]
Ndio dogo.
Hahahaha me nitaanza kupiga jumanne[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aise naona hii sasa hivi ndiyo status ya taifa maana kila mtu anapost,, by the way huwa inanichekesha.. wengine tulishaanza kupiga baruti kitambo sana hatuna haja ya kusubiri tarehe 15
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio dogo.
Mualiko vipi sasa[emoji1745]
Khaaaah!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nipe mimi nitamfikishia kiroho safiiiAise mimi zawadi yangu nataka nikupe live siyo kwa kutuma,, hauwezi acha.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na niko huku Mbeya milimani sasa sijui tunafanyaje [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndio hiyo
Hivi mbeya ile shule ya meta ipo au ilihama
Siwezi fanikisha nini jamani?
Lol!! Watauza sana bia. Mwisho wa safari abiria wako njwiiiiiii!!!.
Ilihama, iko Dodoma sasahivi.Hivi mbeya ile shule ya meta ipo au ilihama