Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,283
- 108,290
Ni cheko tu limezuiwa hapo...Mkwe unataka kusemaje?
Ni cheko tu limezuiwa hapo...Mkwe unataka kusemaje?
Kwanini ukahonge badala ya kuvaa?Naomba hivi viatu nikahonge.
...japo inawezekana!!Kwamba?
Sio dharau, mwanangu. Huo ndio ukweli, kuna gap kubwa tu kama kweli upo 21-22yo. Huyo ni mwalimu wako.Unaona dharau hizi kaka
Daah hizi dharau sasa,, mie nina sura ya kiutu uzima eti..
Kwa mara ya kwanza nilipewa simu mwaka 2014 mwanzoni kipindi cha likizo ya kumaliza form 4 tena ni baada ya matokeo kutoka,, ila JF nimeijua muda sema basi tu..
Yaani wewe!...japo inawezekana!!
Mtunane tunacheza na watoto jamvini, inatufanya tufurahie maisha zaidiMwanaume anaweza kuwa na mtoto akiwa na 12+


Hivyo vimekaa kiume sana, vingekuwa raba labda.Kwanini ukahonge badala ya kuvaa?
Kwamba? Umeacha kunipenda?Yaani wewe!
Nitaishije nikiacha?Kwamba? Umeacha kunipenda?
Kumbe wewe ni KeHivyo vimekaa kiume sana, vingekuwa raba labda.


Nipe hivyo bwana, tena ni size yake kabisa.Kumbe wewe ni Ke
Kamnunulie shemeji vipo mjini vingi tu
Do the needfull basi, nimekumiss ujue!!!
Ndio mama.



ila kuna id nyingine nikizionaga tu huwa nacheka,, watu sijui mnawazaga nini..
Somewhere workingView attachment 1288287