Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,345
- 17,658
Hakuna chochote ulichonikwaza Dadangu kwanza nilienjoy nikapata break kazi zilikuwa zinanistress.Sikuwa siriasi na nilivyosema uapolojaizi.Mkuu blackcornshman naomba unisamehe sana kama nitakuwa nimekukwaza kwa ile kauli yangu,, sikuwa na maana mbaya..
Wasalaam,, Karma..
Sent using Jamii Forums mobile app
