Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,711
Duh basi tena hao kwangu wadogoKwetu mie ndio wa kwanza wa 80 anatoka wapi😅😅
Duh basi tena hao kwangu wadogoKwetu mie ndio wa kwanza wa 80 anatoka wapi😅😅
Kuna nini teynaaaaa, hua napitwa sana na matukio ya humu😄Dr. Mariposa pita mama’ake😁
weka saivi yupoTatizo kila nikiweka haupo mkuu!
Khaaaa🤣🤣Sema tajitahidi upate hata biashara ya kuuza ubuyu.
Sogea tukae😂😂😂ukiwaza hayo mambo unaona bora uishi kisela tu
Mashuleni au?🫢Sema tajitahidi upate hata biashara ya kuuza ubuyu.
Kasema biashara soko itakua juuu yake sasa.Mashuleni au?🫢
Nikitia mjani tu, nikiwa mzima linatoka kama kipofu kaona mwezi😁uwalaza wapiii hebu acha kumtisha mwenzio ebooo😄 tena akijua unajicho mlegeo
sio mbaya ila uwe ubuyu wa zanzibar na uhakikishe nauza jumla jumla sio hivi vya sh 100 👌Sema tajitahidi upate hata biashara ya kuuza ubuyu.
Kuna wewe kupita tu la mama😁Kuna nini teynaaaaa, hua napitwa sana na matukio ya humu😄
Saiz nipo hebu chapa kituTatizo kila nikiweka haupo mkuu!
😅😀 hapo limeisha hiloSogea tukae
Kwa maandishi ya mtu unaweza kukisia ni mtu wa design gani, huwa nakuona ni mwema hata kucheat hujui😎Kasema biashara soko itakua juuu yake sasa.
HahahahaaaKasema biashara soko itakua juuu yake sasa.
We sitaki uteseke nakukatia bima ya maisha.Khaaaa🤣🤣
Pita mama mchunga hilo swala la uzuri liko machoni kwa muonaji wala sio swala lako kabisa, ondoa hofu😀Wenye sura za baba
Mademu wabaya wa humu jf tupite ss leo jpili,🤣🤣
Nan kasema?Wenye sura za baba
Mademu wabaya wa humu jf tupite ss leo jpili,🤣🤣
Dakika 2Saiz nipo hebu chapa kitu
Naam nipo hapaDakika 2