win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,846
- 30,009
weee apia🤔🤣🤭Hata uwe age go hapo hutoboi huyo amekula sana chumvi
weee apia🤔🤣🤭Hata uwe age go hapo hutoboi huyo amekula sana chumvi
Nayo situmii 😅Basi whatssp huko mi nilishasahu mahi
Nitakuita nikipita. Leo lazima nipite.@oooh leo umenibamba?,,, na wew ukitaka kupita uniite bestie
sio hao tu mbona hata wadada huwa wanakusifia kwanini nisiamini mdogo wangu mrembooHivu unawasikiliza kina Intelligent businessman na mwenzake Dc?
😅😅 basi mtag Min alikuepoNayo situmii 😅
Niamini mimi bwana umepata Mpaji Mungu njoo tujielezee wife aje migombani🔥🔥weee apia🤔🤣🤭
Tulikuwa tunakusubiri wewe poker ake💃🏽Mbona huu uzi unatirendii, watu mnaselfika kimya kimya tu.
endelea kuomba tu hakuna makate mgumu mbele ya chai🤣😜Tupo vacation tatizo hanipagi niinyooshe
cant wait jamni uwih🔥Nitakuita nikipita. Leo lazima nipite.@
tatizo silagi ndizi kabisa 😜Niamini mimi bwana umepata Mpaji Mungu njoo tujielezee wife aje migombani🔥🔥
Ngoja aje mie simoooMin Mlevi muongo ndiyo kabisa usimsikilize ananiunga mkono Ras mwenzake min -me
😀😀 Onhoo mimi ni mshangazisio hao tu mbona hata wadada huwa wanakusifia kwanini nisiamini mdogo wangu mremboo
Yaani humu selfika nimebahatika kumuona ShesRise_1 pekee, yaani hata wewe mshkaji wangu Seran sijawah kukubahatisha.Tulikuwa tunakusubiri wewe poker ake💃🏽
kwahiyo unataka lizibe kabisa? dada m baya wew khaaa🤣🤣🤣Kwasababu bado linasikia😁
Kila nikiwaza nipeleke binti wa mtu nyumbani nimekaaa na maza mzee pale ndo nawapanga nataka nioe hii mali hapo wote wanajuaa namla na tunakulanaa na huyu dada😎Niamini mimi bwana umepata Mpaji Mungu njoo tujielezee wife aje migombani🔥🔥
Mie cheap kuniona chap shemela😅😅Yaani humu selfika nimebahatika kumuona ShesRise_1 pekee, yaani hata wewe mshkaji wangu Seran sijawah kukubahatisha.
Utakula vingine 😊tatizo silagi ndizi kabisa 😜