Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,711
Ila ww maswali yako🤔🤣🤣🤣Kwani we ni ke au me 🤔
Ila ww maswali yako🤔🤣🤣🤣Kwani we ni ke au me 🤔
Endelea kuamini mtaolewa na washkaji waliojipata, photogenic, handsome nk. Mtaani mtanikuta mimi code hazifiti nikivaa nguo kama zimeanikwa, mshamba mshamba sijachangamka sijajipata n.k😂😂😂😂
🤣🤣🤣mbona haujatuita tukamuone huyo hensam wa JF😄
Nimekosea kumbe basi nisamehewe 😢Ila ww maswali yako🤔🤣🤣🤣
wew upo kama mimi yani,, tofauti ni jinsia🤭 we endelea kuruka ruka tu wakati ubavu wako ndo ulitolea nikatengenezwa mieEndelea kuamini mtaolewa na washkaji waliojipata, photogenic, handsome nk. Mtaani mtanikuta mimi code hazifiti nikivaa nguo kama zimeanikwa, mshamba mshamba sijachangamka sijajipata n.k
Jmn 🙌🤣🤣🤣Endelea kuamini mtaolewa na washkaji waliojipata, photogenic, handsome nk. Mtaani mtanikuta mimi code hazifiti nikivaa nguo kama zimeanikwa, mshamba mshamba sijachangamka sijajipata n.k
😎😎, acha tuchague dk za jioniiiiii tutakurudia kwa magotiEndelea kuamini mtaolewa na washkaji waliojipata, photogenic, handsome nk. Mtaani mtanikuta mimi code hazifiti nikivaa nguo kama zimeanikwa, mshamba mshamba sijachangamka sijajipata n.k
Ni ke bwanaTayana-wog we unacheka mie naona mashikolo🤣🤣
We bora hata una picha mi ukitaka picha yangu unapiga picha 107 hapo sasa unafuta 106 moja at least inakua nzuri😂wew upo kama mimi yani,, tofauti ni jinsia🤭 we endelea kuruka ruka tu wakati ubavu wako ndo ulitolea nikatengenezwa mie
kwahiy tayana akatiwe bima ya maisha alaf win one yeye akashinde na kideli cha ubuyu kwenye vyoo vya shule?🤔🤔 shiyeeeenzi ni kwamba nyota sina auWe sitaki uteseke nakukatia bima ya maisha.
Haya maaNi ke bwana
Jamaniii🥲Thubutuuuuuuuuuuu, sio kwa Jf
Tukitembea Road lazima uone aibu kidogoJmn 🙌🤣🤣🤣
Mkikataliwa mje tu niwaaibishe😎😎, acha tuchague dk za jioniiiiii tutakurudia kwa magoti
nimechekaa,, ila sio mbaya mi pia hufanya hivyo😄 hata sikushangaiWe bora hata una picha mi ukitaka picha yangu unapiga picha 107 hapo sasa unafuta 106 moja at least inakua nzuri😂
🤣🤣🤣Walimwengu utawaweza? Kwanza tumwone anayesema anafananaje
Haya ondoa comment lako mama juniya🤣Fanya urudie ile ya uso ulonitumia jana
Utuaibishe tena 😅😭Mkikataliwa mje tu niwaaibishe
Kila mtu anapewa alichoomba we umeomba biashara mwenzako kaomba security ya lifetime.kwahiy tayana akatiwe bima ya maisha alaf win one yeye akashinde na kideli cha ubuyu kwenye vyoo vya shule?🤔🤔 shiyeeeenzi ni kwamba nyota sina au