win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,919
- 30,315
pita kwanza alf tuliopo tufanye marudio, na watakao kuja watarudia pia😊Uzi umetembea… zirudiwe tafadhali,
pita kwanza alf tuliopo tufanye marudio, na watakao kuja watarudia pia😊Uzi umetembea… zirudiwe tafadhali,
kama vipi😄 nianze kuandaa tumboUtakula vingine 😊
Tatizo we ndotoni hupendi hela.endelea kuomba tu hakuna makate mgumu mbele ya chai🤣😜
Anakuja nishamuita soon 😂Ngoja aje mie simooo
Sema mnajuana maras wote 😅
Ngoja aje kutukumbusha kutafuta hela 😅Anakuja nishamuita soon 😂
ungekua karibu ningekufinya 😅 subiri ushangazi utakufika tu binti😀😀 Onhoo mimi ni mshangazi
Mbona sinaga noma miepita kwanza alf tuliopo tufanye marudio, na watakao kuja watarudia pia😊
😂😂😂😂😂, huo nao mtihani kwakweli huo mpango tuache kwanza mpaka 4040 hukoKila nikiwaza nipeleke binti wa mtu nyumbani nimekaaa na maza mzee pale ndo nawapanga nataka nioe hii mali hapo wote wanajuaa namla na tunakulanaa na huyu dada😎
Nyamakama vipi😄 nianze kuandaa tumbo
hata kwenye maisha ya kawaida nishawahi kusema napenda pesa? mi napendaga zawadi ndogo ndogo kama gari, kiwanja, biashara nk pesa zako mimi sizihitaji kabisaaa 😎😜Tatizo we ndotoni hupendi hela.
Mimi na huu uwalaza, hapana bora tubaki anonymous tu mwanetu😁Yaani humu selfika nimebahatika kumuona ShesRise_1 pekee, yaani hata wewe mshkaji wangu Seran sijawah kukubahatisha.
Au uende ukweni umekaa sebuleni kama lijinga hivi unapigwa dodoso haste haste.😂😂😂😂😂, huo nao mtihani kwakweli huo mpango tuache kwanza mpaka 4040 huko
hapa sawa mwambie aje upesi 😅😅 niko tayaliNyama
Nipo dakika za jiiiioniiii 😂ungekua karibu ningekufinya 😅 subiri ushangazi utakufika tu binti
Twende kazihapa sawa mwambie aje upesi 😅😅 niko tayali
Ngoja nipate mjani kwanza tutasema!kwahiyo unataka lizibe kabisa? dada m baya wew khaaa🤣🤣🤣
Kama hizo ndo zawadi ndogo ndogo we kuniua hushindwihata kwenye maisha ya kawaida nishawahi kusema napenda pesa? mi napendaga zawadi ndogo ndogo kama gari, kiwanja, biashara nk pesa zako mimi sizihitaji kabisaaa 😎😜
hata kwenye maisha ya kawaida nishawahi kusema napenda pesa? mi napendaga zawadi ndogo ndogo kama gari, kiwanja, biashara nk pesa zako mimi sizihitaji kabisaaa 😎😜
ehata kwenye maisha ya kawaida nishawahi kusema napenda pesa? mi napendaga zawadi ndogo ndogo kama gari, kiwanja, biashara nk pesa zako mimi sizihitaji kabisaaa 😎😜
😂😂😂 mimi asiniambie hivyo nitamuomba zake anigawieNgoja aje kutukumbusha kutafuta hela 😅