Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,355
- 9,432
Sipiti hata nilikuwa nachangamsha kijiwehaya pita ya mwisho nione fashion ya kichoo kibode sijui t shirt sijaona vizuri jamni😊
Sipiti hata nilikuwa nachangamsha kijiwehaya pita ya mwisho nione fashion ya kichoo kibode sijui t shirt sijaona vizuri jamni😊
najuaaSipiti hata nilikuwa nachangamsha kijiwe
Pita basinajuaa
ngoja nimalize kuosha vyombo usicheze mbali😊Pita basi
Haya bwana wacha mimi nimsindikize kakaangu shambani😁risiti hamna jamni ilikua ni gafla kama kimbunga😅😅
Ungepita kwanza 😊ngoja nimalize kuosha vyombo usicheze mbali😊
Imenipita fanya kanamna basUngepita kwanza 😊
shambani kwenu mnalimaga nini nikuagize?Haya bwana wacha mimi nimsindikize kakaangu shambani😁View attachment 3602899
Hata sijapita 😎pita viatu nipite nakedImenipita fanya kanamna bas
nitakuita, hebu nimalizie kusugua hizi sufuria za masizi🙂Ungepita kwanza 😊
Bangi na korosho!😁shambani kwenu mnalimaga nini nikuagize?
Sema wewe nishakuotea sana 😊 binti mzurinitakuita, hebu nimalizie kusugua hizi sufuria za masizi🙂
Wewe kuotewa aaanh🙌🏾Sema wewe nishakuotea sana 😊 binti mzuri
naomba niletee majani mabichi ya bangi nitibie sikio langu,, korosho ikifika mda wa kuvuna mniite😊😊Bangi na korosho!😁
Hiyo mixa ni hatariBangi na korosho!😁
Wewe tu huna bahati 😂, nishakuotea sana na weweWewe kuotewa aaanh🙌🏾
Sikio lako linatibiwa na bangi mamkali?naomba niletee majani mabichi ya bangi nitibie sikio langu,, korosho ikifika mda wa kuvuna mniite😊😊
Mmmhnaomba niletee majani mabichi ya bangi nitibie sikio langu,, korosho ikifika mda wa kuvuna mniite😊😊
Acha kabisa mzee..Hiyo mixa ni hatari
khaaaa kumbe unapitaga kimya kimya? haya naomba na mimi nikuotee leo 🙂😊Sema wewe nishakuotea sana 😊 binti mzuri