win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,876
- 30,179
ndio kwan haujui kama bangi ni dawa ya sikio?🤔Sikio lako linatibiwa na bangi mamkali?
ndio kwan haujui kama bangi ni dawa ya sikio?🤔Sikio lako linatibiwa na bangi mamkali?
😅😅niotee kama mwenzako nanihiikhaaaa kumbe unapitaga kimya kimya? haya naomba na mimi nikuotee leo 🙂😊
nani huyooo nikamkwide anisimulie 😅😅😅😅niotee kama mwenzako nanihii
Kmmk leo Naijaza sikioni!😳ndio kwan haujui kama bangi ni dawa ya sikio?🤔
shiyeeeenz nimecheka mnoooo,, nitakuelekeza matumizi yake kama upo serious lakin,, sio kujaza jaza tu binti🤣🤣🤣Kmmk leo Naijaza sikioni!😳
Aii hebu nitumie nibadili hii housing, maana kama nimemwagiwa uji😬mamaake umekuwa mcharo🤭
Leo nimemuona bn mdada naemuotaga.
Kumbe!😱 basi unielekeze aisee kuna sikio moja silielewi elewi sijui limechoka kufanya kazi🤦🏽♀️shiyeeeenz nimecheka mnoooo,, nitakuelekeza matumizi yake kama upo serious lakin,, sio kujaza jaza tu binti🤣🤣🤣
this beauty will never perish..
Haya changamka tuweke ndani 🔥Leo nimemuona bn mdada naemuotaga.
nitakutumia,, nilitaka niitest kwanza nione kama inafanya kazi, ila iko vizuriiAii hebu nitumie nibadili hii housing, maana kama nimemwagiwa uji😬mamaake umekuwa mcharo🤭
Awapi😀 sifa zote kwakosenkiyuuu ila unanizidi kidogo 👌😊,,,
khaaaa yani huyu,, haujui kama mimi ni age go?🤣Haya changamka tuweke ndani 🔥
unamuotaga mkiwa mnanini🤭😅😅😅Leo nimemuona bn mdada naemuotaga.
Shemeji Castle_Lite hivi uchezagi hii mitaa?