ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,111
- 40,420
🤣🤣🤣Usiniambie kuna namna ht ukifuta bado mtu anaona kwenye replay??
🤣🤣🤣Usiniambie kuna namna ht ukifuta bado mtu anaona kwenye replay??
Mwenzangu
HamnaUsiniambie kuna namna ht ukifuta bado mtu anaona kwenye replay??
Hakuna bhana 🤣Mwenzangu
Hebu mnisanue🤣🤣
🤣🤣🤣Was kung'aa kama andazi necessary? 😂
OkayHakuna bhana 🤣
Relax huachiki ng'ooOkay
Nisije achika bure🤣🤣
Fala sana Hako katoto 😂
We jishaue kama una demu wako hapa uachikeBc this time upokee 😎
Ndio! Siku mtu anayekujua atakubamba selfikaEh kumbe kuna namna ya kupost, eh JF mambo mengi sana aisee 🙌 n mm tuu Ndo sipo serious napo
🤣🤣Sina demu.
Mimi sikujui, kuna watu humu wanajua story yako nzima kuanzia ulivyozaliwa hadi leoC kama ww tuu ulivyonibamba 😂
📌Hakuna anayejua story yangu mzima, labla vipande vipande vya story yangu ambayo kwao haina umuhimu na kwangu hainiumizi 😎
Kuna watu hujifanya wanajua wengine 😅Hakuna anayejua story yangu mzima, labla vipande vipande vya story yangu ambayo kwao haina umuhimu na kwangu hainiumizi 😎
Kuna ndugu zako wapo jfHakuna anayejua story yangu mzima, labla vipande vipande vya story yangu ambayo kwao haina umuhimu na kwangu hainiumizi 😎
Ndio ukaamua ujianike leo mdogo wangu🤣🤣 ila wapare kwa ubishi hatujamboKuna kipindi nilipost picha humu nikaambiwa Hizo picha sio zangu 😂 eh kumbe kuna watu wana taarifa zangu ambazo Mm mhusika sina 😂
Ila mm nadhani jinsi unavyokuwa serious sana humu, ndivyo utakavyozidi kuumizwa kichwa na watu wa humu.
Acha basi nawe mfukunyuzi aisee 🤣Kuna mtu humu alipost picha, hiyo picha nikaifanyia Google lens nikakutana Na picha zake kibao Instagram, sasa nikajiuliza Ipi sababu ya kuficha sura humu afu hapo hapo insta zipo kibao 😂
Bro wataacha kuselfika 🙌🏾 inatoshaKuna kipindi nilipost picha humu nikaambiwa Hizo picha sio zangu 😂 eh kumbe kuna watu wana taarifa zangu ambazo Mm mhusika sina 😂
Ila mm nadhani jinsi unavyokuwa serious sana humu, ndivyo utakavyozidi kuumizwa kichwa na watu wa humu.
Kuna mtu humu alipost picha, hiyo picha nikaifanyia Google lens nikakutana Na picha zake kibao Instagram, sasa nikajiuliza Ipi sababu ya kuficha sura humu afu hapo hapo insta zipo kibao 😂
Kumbe una tabia kama yangu ya kwenda kugoogole lens! 😂Kuna kipindi nilipost picha humu nikaambiwa Hizo picha sio zangu 😂 eh kumbe kuna watu wana taarifa zangu ambazo Mm mhusika sina 😂
Ila mm nadhani jinsi unavyokuwa serious sana humu, ndivyo utakavyozidi kuumizwa kichwa na watu wa humu.
Kuna mtu humu alipost picha, hiyo picha nikaifanyia Google lens nikakutana Na picha zake kibao Instagram, sasa nikajiuliza Ipi sababu ya kuficha sura humu afu hapo hapo insta zipo kibao 😂
Ana haribuuu🤣🤣Bro wataacha kuselfika 🙌🏾 inatosha
Daah bora nikae kimya tuSelfika incase Huna la kupoteza.
Sasa mtu anashindia energy drinks na vitumbua Afu kutwa kudai unalinda privacy Yako.
Privacy ya nyokweeeeeeeeeeeeee