haya poaAsee..basi poa
haya poaAsee..basi poa



halafu hauwezi amini hadi home wananishangaa eti napendea nini balimi wakati wao wanaona imekaa kama gongo na siyo bia
We dadaMbona unatumia ngoma nzito mno?
Kama wewe ni muhenga nadhani unaukumbuka wimbo wa Wyre, " ni chuki tu mimi nahisi." Sema huwa tunakubali hizo conditions halafu baade tunapeleka mrejesho kwenye ule uzi wa Riki Boy.
Nitaurudia...now watching videos from Likee ' karibu, kuna dogo kaimba Helo ya Beyonce aisee...ngoja kesho utaiona statusInshaallah nitaweza,, mwenyewe mwanzo sikuwa nauelewa huu wimbo ila kuna mtu humu kanifanya niuelewe ghafla.. sema nimependa zaidi kile kimdundo chake kama cha reggae
Sent using Jamii Forums mobile app
No huo wimbo siujui,, now playing "kama nikifa kesho" by diamond platnumz..
Haha mie mgumu kaka,, hayo masihara yaishie huko huko kwa rikiboy..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mm niioneNitaurudia...now watching videos from Likee ' karibu, kuna dogo kaimba Helo ya Beyonce aisee...ngoja kesho utaiona status

HahahahaMbona kaka tena, hizi sio dalili nzuro, niite hata mkuu

Nitaurudia...now watching videos from Likee ' karibu, kuna dogo kaimba Helo ya Beyonce aisee...ngoja kesho utaiona status
Hawajakosea.... We si ajabu hata kitoko unagonga and the like, me bia ninayoiweza ni Heinkein tuhalafu hauwezi amini hadi home wananishangaa eti napendea nini balimi wakati wao wanaona imekaa kama gongo na siyo bia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kaka tena, hizi sio dalili nzuri, niite hata mkuu. Kama haujui basi wewe wa juzi juzi. Utafute usikie Wyre alivyokuwa analalamika, sijui hata walimfanya nini.
Ni nzuri mnooAisee hiyo likee nahisi sijui ni mimi tu ndiyo sina,, kwani ni nzuri eenh??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha
MTC | 101|![]()
Nikiweza kuiweka hapa 💃Na mm niione
MTC | 101|![]()
Hawajakosea.... We si ajabu hata kitoko unagonga and the like, me bia ninayoiweza ni Heinkein tu
I'm highly addicted with![]()
Wadada mnakunywa hizo ( lutuku ) pombe Kali za uswazi ?No kitoko sipigi aise,, mie mwenyewe ni mpenzi wa wine kuliko beer au whisky au spirit na huwa sipendi kunywa sana hadi kulewa ini langu bado nalipenda ati..
Sent using Jamii Forums mobile app

Kabisa asee, ila huyu Depal ile picha sijui kwann sija isaveMkuu naona anafunga milango huyu, tutapita hata dirishani

Wadada mnakunywa hizo ( lutuku ) pombe Kali za uswazi ?
MTC | 101|![]()