Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Uagize lifike Arusha 😅😅 au liagize kwa halopesa 💃💃[emoji23][emoji23] nahisi haujanizidi mimi kwenye kupenda t shirts,, shifoni siyo sana.. [emoji2296][emoji2296]halafu nikuagizie wapi sasa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri kutoa kuliko kupokeaJamani nawakumbusha tu leo ni tarehe 13 Dec. Bado napokea mialiko ya siku kuu hivyo msijikaushe.
Good morning.
Majiiiii [emoji7]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jamani nawakumbusha tu leo ni tarehe 13 Dec. Bado napokea mialiko ya siku kuu hivyo msijikaushe.
Good morning.
Jamani nawakumbusha tu leo ni tarehe 13 Dec. Bado napokea mialiko ya siku kuu hivyo msijikaushe.
Good morning.
[emoji41] Mabaharia wa subaru, mnahitajika kwenye kikaoView attachment 1290475
Jamani nawakumbusha tu leo ni tarehe 13 Dec. Bado napokea mialiko ya siku kuu hivyo msijikaushe.
Good morning.
Uagize lifike Arusha [emoji28][emoji28] au liagize kwa halopesa [emoji126][emoji126]
Karma geuka nipo nyuma yako hapa, mimi ni huyu aliyevaa tshirt ya kijani na shati la njano
Oyah! Kama unatafuta mbinu za kuninyima naona kabisa unaelekea kufanikiwa 😂😂Aise mimi zawadi yangu nataka nikupe live siyo kwa kutuma,, hauwezi acha.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na niko huku Mbeya milimani sasa sijui tunafanyaje [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Oyah! Kama unatafuta mbinu za kuninyima naona kabisa unaelekea kufanikiwa [emoji23][emoji23]
Mambo yote online dogo usikwame
Mkwe usinifanyie hivyo tafadhali.Heri kutoa kuliko kupokea
Habari ndio hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nani kasema?? Hayo ni yako!!
Sent using Jamii Forums mobile app