Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,221
Unalipenda sana Depay?
Unalipenda sana Depay?
Basi bakia huko![]()
Haha kwangu 24/7 chai na kahawa vipo...Kote mi nipo mama,, usije siku ukanikaribisha kwako ukaanza kuwaza utanipa kinywaji gani.. nipe chochote kasoro chai na kahawa na hivyo vilevi vingine visivyoeleweka
Sent using Jamii Forums mobile app

tarehe za mwisho wa mwezi enh??
Haha kwangu 24/7 chai na kahawa vipo...
Mgeni wine utazikuta ukija tar nzuri nzuri
Hahahah kudadekiiii, uliiona kwenye ile clip sio? January uniagizie eeh napenda t shirts na shifoni 😋Halafu nakuja kuchukua ile t shirt yako ya FF maana kwanza naona ni oversize kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh mpaka zile za kabla ya tar 10
Mji flani hivi ntakwambia kuleeeee hahahahaah

nahisi haujanizidi mimi kwenye kupenda t shirts,, shifoni siyo sana.. 
halafu nikuagizie wapi sasa??
Hahahah kudadekiiii, uliiona kwenye ile clip sio? January uniagizie eeh napenda t shirts na shifoni![]()
Eeh mpaka zile za kabla ya tar 10