win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,911
- 30,267
nyauuuu hebu usilale kwanzaMapenzi uchizi mapenzi ukichaa Darassa
Ukiona hivyo jua tayali 😃
nyauuuu hebu usilale kwanzaMapenzi uchizi mapenzi ukichaa Darassa
Ukiona hivyo jua tayali 😃
Sikupingi 😃😃Wakinga tumezidi kwenye pesa 😹
Confidence tunazo tumebarikiwa kokote tunazitumia..!!
Mkinga umkute china ndo utajua km mshamba au vipi?
Tuna brand zetu za tv na subwoofer halafu majina ya bidhaa tumeweka ya vijijini kwetu..!! 😹😹
Nasubiri pic km ya siku ile 🙈Pole
We umetoka wapi saivi watu tumepita naked🤣Nimekuja sasa, haya wekaa kituu mwanakwetuu.
Nimechekaaaaa Aloooo!!! Hadi Uzi tena mwanakwetuu.😂 Acha nisiseme kitu ila huwa nakuzoom sana unavyowajaza humu 😹
Jokes aside, anguko la mwanamke yoyote huwa ni kufikiri inabidi awe namna ambavyo wanaume wanasema au wanapenda kimatamanio. Ni a rate race, huwezi kushinda, hao hao wanaume unakuta wanakwambia rangi inamatter ameoa ambaye hana rangi, au kaoa ana rangi ya mtume ila wote anaocheat nao hawana hiyo rangi kwa sababu anasema ndiyo watamu.
Kuwa ambavyo upo, wapo wanaume wa kutosha watakaokupenda hivyo ulivyo.
Sikujua, hivi ni kweli ndiyo iko hivi? Acha baadaye nishushe uzi tuulize wanaume wa JF wanasemaje!
Hebu tupumzishe vyeusi mangala buana, tusije kuenda kujidabika carolight tukawa na rangi tatu tatu 😂
View attachment 3602205
Shorii wa ambition, umeona kuna mtu kapinga?Chombo ya nani?
Em ongeza volume.. 😻
Wewe unanitafutia balaa na mademu zako..!! 😹
Mi mkorofi mwenzio sitaki ugomvi.
😃 legendary maestroKakutana na dalali
BadoBuku
Kusini kuchelee mambo kuninogea🔥🔥Natokea kusini.
Khaaaah 😂😂😂😂Nishapotezea ningetaka mbona ningewasha moto 😹😹
Nilijua alpanda mtumbwi wa kibwengo 😹
Weekend hii mkuuNyie mna ujasiri sana ku selfika naked mchezo
Afu usiwasifie sana sasaHii sasa ndio nakeeeeed yenyewe 😍😍
Gentleman la mwaka wa mbele awww 🔥🔥
Kuna wakaka wazuri humu halafu hamringi mko smart..!!
Nikiunganisha na tabia zako wewe ni Barack Obama wa JF 😍😍
Msiache kutupia pic kali km hizi tupunguze visirani wadada jamani..!!
Hapa nitalala vizuri shem, coca mume kapata Igweeeeeeeeeeee 🫡
Wee kesho ni sikukuu ya ekaristi nikiwa kama sehemu ya kumwaga maua inabidi niwahi kuuchapa😃 legendary maestro
Jamaniiii, 😂😂😂😂View attachment 3602209
Yani hadi kusema asante tunaogopa, mara unasifiwa, mara unachambwa kwa kukosa nuru, ili mradi fujo tu 😂😂
Kusini moja huyo😃Sema Wallah
Mwana mpotevuKhaaaah 😂😂😂😂
Zamu yako mie mchana nimepita uchii humu ndaniWeekend hii mkuu
Unategua mabomu mkuu😃😃Kitambo sana kwenye huu uzi sijapita