Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😃😃😃Sijui Mungu aliweka nini hizo confidence sijui huwa zinatoka wap...


Kuhusi kufikiria pesa😃hii ni kila mtu hata Eron Musk bado anaziwaza bado
Wakinga tumezidi kwenye pesa 😹
Confidence tunazo tumebarikiwa kokote tunazitumia..!!

Mkinga umkute china ndo utajua km mshamba au vipi?
Tuna brand zetu za tv na subwoofer halafu majina ya bidhaa tumeweka ya vijijini kwetu..!! 😹😹
 
Back
Top Bottom