Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii sasa ndio nakeeeeed yenyewe 😍😍
Gentleman la mwaka wa mbele awww 🔥🔥
Kuna wakaka wazuri humu halafu hamringi mko smart..!!

Nikiunganisha na tabia zako wewe ni Barack Obama wa JF 😍😍

Msiache kutupia pic kali km hizi tupunguze visirani wadada jamani..!!

Hapa nitalala vizuri shem, coca mume kapata Igweeeeeeeeeeee 🫡
Shukran mkuu 🙏 appreciate that😊

Mpo vizuri nyinyi mnafanya kwenye uzi tusikauke😃

Muendelee kutubariki 🔥
 
Shukran mkuu 🙏 appreciate that😊

Mpo vizuri nyinyi mnafanya kwenye uzi tusikauke😃

Muendelee kutubariki 🔥
Hauna nyingine hapo utupie 🥰

Tutakubariki mpaka ushangaeee tuko lelee leleee 😹
 
Mkuu sifa ya wakinga ni ipi...,😃

Nilikuambia me ni half mkinga😃Genes zetu unazijua
Nilitaka kusema hii mikausho ya kikinga na kinyaki 😹😹😹

Hivi kwanini wakinga tunajiamini sana? 😹

Upo km Vunja bei kila kitu, Hivi ni kwamba muda wote mnafikiria pesa au? 😹
 
Nilitaka kusema hii mikausho ya kikinga na kinyaki 😹😹😹

Hivi kwanini wakinga tunajiamini sana? 😹

Upo km Vunja bei kila kitu, Hivi ni kwamba muda wote mnafikiria pesa au? 😹
😃😃😃Sijui Mungu aliweka nini hizo confidence sijui huwa zinatoka wap...

Kuhusi kufikiria pesa😃hii ni kila mtu hata Eron Musk bado anaziwaza bado
 
Back
Top Bottom