cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,298
- 187,951
Ila BWZ Unanilisha maneno, nimesema chaguo la 2 kweliii?View attachment 3602221
Sikufikii wewe maji ya kwanza, niko nasubiri kichambo cha kukosa nuru π Coca kasema sisi vyeusi mangala ni machaguo ya pili huwa tunaonewa huruma tu ππ
Kajukuu kangu, anzeni tu kuniita bibi π
ππππ Dhambi jamaniii