The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 777
- 1,590
Ukisikiliza sana maneno ya watu humu utastress bure. Mwanamke ni lazima uwe na sura ya upole.Sitakiii et mpole kama naimba kwaya 😔
Ukisikiliza sana maneno ya watu humu utastress bure. Mwanamke ni lazima uwe na sura ya upole.Sitakiii et mpole kama naimba kwaya 😔
Awwwww 😹😹😹Ah ela vocha tu? Huyu mrembo sio wa kumhonga vocha, mpe vogue sport na hata kiwanja Cha urithi nitauza nimpe Kila kitu😅
Sura ya upole ndo inakua vp mwandishiUkisikiliza sana maneno ya watu humu utastress bure. Mwanamke ni lazima uwe na sura ya upole.
🥰🥰Ukisikiliza sana maneno ya watu humu utastress bure. Mwanamke ni lazima uwe na sura ya upole.
Sawa kakaMi sio mdogo wako, unataka kuninyima nini eboo!
Jamani kwani ugomvi 😹Mi sio mdogo wako, unataka kuninyima nini eboo!
Ntakaanika humu midomo ipungue🤣🤣Usisahau kunitumia kapicha ukiglow
NdioKweli? 😻
Si nimekwambia mimi umeamini?
Unajua Mshana alipoanzisha huu uzi hapo chini sikuutilia maanani. Leo hata sijui ni kiranga gani kimenileta huku Selfika maana nimepata picha za karibia maingizo mapya yote. Labda nimebakiza za wachache. Hii intake yenu aisee ni moto wa kuotea mbali na wakongwe inabidi wawapishe na kuwapa heshima zenu tu maana hakuna namna. Watoto wabichi hata 20 sijui hamjafikisha halafu pisi za kueleweka.Pole kwa kukutisha 😥😌
Yeah unastahili vogue, ila ndio hivo Sina uwezo wa kukupa. Labda matajiri utakao kuja kwako😅. Ila ukija kwangu nitakupa tutakachojaaliwa na Mungu baba😅.Awwwww 😹😹😹
Mnanitega sasa na mkinga ninavyopenda vitu vikuuuubwaaa km Vogue 😻
🚶🏿♂️➡️Mbona sifichi kitu American boy..!! 😹
Hamna huyo tunataniana km wengine tu!Niamini mimi nina jicho la rohoni
Mbio ndefu siziweziAsubuhi yote hii kha!
Nashindwa kuelezea kwa maandishi, mkuu labda nitumie pichaSura ya upole ndo inakua vp mwandishi
Challenge ipi tena?Njoo hapa tufanye challenge
Kwa mala ya kwanza nakuamini aiseeeSi nimekwambia mimi umeamini?
Wewe mpole ila maandishi sasa 😹
Una boaaa mfyuuuuHamna huyo tunataniana km wengine tu!
Kashikashi za mabwana wa JF siziwezi 😹
Polee😢Mbio ndefu siziwezi
Nikiweke picha bila emoji unalipa??Challenge ipi tena?