Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
😹😹😹 Weeh sema kweli?Nimeona huyo mshkaji kama anaelewa fungua Pm uone 😂😂
😹😹😹 Weeh sema kweli?Nimeona huyo mshkaji kama anaelewa fungua Pm uone 😂😂
Niamini mimi nina jicho la rohoni😹😹😹 Weeh sema kweli?
Njoo hapa tufanye challengeKweli, mi hawanipendi kakorofi 😔
Pm wamefunga mods 😹
Usitunyime Tena bhana.
😹😹😹 Huyo anatakiwa kupewa kadi ya bank tu sio kufokewa..!!Manena
Namwelew kitambo hata cocastic anajua sema ananifichia white 😆Nimeona huyo mshkaji kama anaelewa fungua Pm uone 😂😂
Atakayekufokea achapwe..!! 😹😂😂😂🙌
Wengi wape. Watu wote hawa hatuwezi kuwa wrong. Sura yako ina ujumbe mzuri sana kiroho
Sitakiii et mpole kama naimba kwaya 😔Usitunyime Tena bhana.
Weeeh sema kweli 😻Utakapo kuja kwangu nitakuonyesha Yale yote unayoyataka kuona. Tafadhari nipe nafasi hioðŸ¤ðŸ˜™
Sura ya upole au sio, anaonekana hana mambo mengiWengi wape. Watu wote hawa hatuwezi kuwa wrong. Sura yako ina ujumbe mzuri sana kiroho
Ah! Kadi ya bank? Hapo umevuka mpaka mrembo😅😹😹😹 Huyo anatakiwa kupewa kadi ya bank tu sio kufokewa..!!
Komaa nipo pembeni nakusaidia kazaa🔥🔥Namwelew kitambo hata cocastic anajua sema ananifichia white 😆
Tunasema ukweli mahi!We jamaa na Labela ni hivi🫡
Mtu akija kusoma baadae anapagawa
Anyway naanza kua mpoleee
Nishamkatia tamaa 😆Komaa nipo pembeni nakusaidia kazaa🔥🔥
Kweli? 😻Njoo uniombe vocha😆
Asantee kaka angu 😘Wengi wape. Watu wote hawa hatuwezi kuwa wrong. Sura yako ina ujumbe mzuri sana kiroho
Mbona sifichi kitu American boy..!! 😹Shida unaficha white.
Asubuhi yote hii kha!Nishamkatia tamaa 😆