Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
Huyo anakukwepa usimchombeze 😹Shemu tena, hebu acha bana njiwa watapeperuka
Mi nilitania tu ndio tabia yangu..!!
Huyo anakukwepa usimchombeze 😹Shemu tena, hebu acha bana njiwa watapeperuka
Nimeona huyo mshkaji kama anaelewa fungua Pm uone 😂😂Wewe mi sina bwana humu 😹
Usije kufanya watu wakose mademu JF
Hutakiwi kufokewa upewe pesa na mahaba tu! Warembo km nyie wachache sana..!!Dah leo nimejua kucheka uzuri sijihushi na issue za mapenzi mahi
Ohoo ShesRise_1 majaribu haya sio kabisa 😅Wanymwezi tuna upali shida iko wapi? 😹
Imeisha hiyoooOya nilikuwa busy na msosi, sijaona ulivyo ruka
ManenaHutakiwi kufokewa upewe pesa na mahaba tu! Warembo km nyie wachache sana..!!
😂😂😂🙌Hutakiwi kufokewa upewe pesa na mahaba tu! Warembo km nyie wachache sana..!!
Achana na ukorofi na mabifu yasiyo na kichwa wala miguu. You look so peaceful and wise. Wewe ni kimbilio kwa viumbe wanaoteswa na dunia. Siyo tena nawe unaungana kwenye ukorofi. Hapana kwa kweli. Mi nitapambana Mpaka ubadilike! 😂Wewe sijui wangapi unasema hivi so inabidi niweje sasa😂
Asante lakini
Bhana wee vidimple vya kuombea vocha 😹😹😹Aww, achachaa uko na dimples?😌
Utakapo kuja kwangu nitakuonyesha Yale yote unayoyataka kuona. Tafadhari nipe nafasi hio🤭😙Mi kabaya ujue shepu zenyewe mpk tujibinue 😹
Imekuaje mdogo wangu😎Ohoo ShesRise_1 majaribu haya sio kabisa 😅
Pole kwa kukutisha 😥😌Jiiiizozi! 😳😳😳😳
Eish ko unasusa?, fanya chao kabla sija sepa na attention za hukuImeisha hiyooo
Hapa ndipo mnapo haribu, wish you a nice eveningImekuaje mdogo wangu😎
We jamaa na Labela ni hivi🫡Achana na ukorofi na mabifu yasiyo na kichwa wala miguu. You look so peaceful and wise. Wewe ni kimbilio kwa viumbe wanaoteswa na dunia. Siyo tena nawe unaungana kwenye ukorofi. Hapana kwa kweli. Mi nitapambana Mpaka ubadilike! 😂
Njoo uniombe vocha😆Bhana wee vidimple vya kuombea vocha 😹😹😹
Naijua hiyo 😹😹😹Wana Jamii forum njooooooooooooooooooooooooni muone Bismillah MashaAllah 🥰🥰🥰🥰
Kama ni hivi siselfiki tenaaaa
Nawe pia 🤪😉Hapa ndipo mnapo haribu, wish you a nice evening
You will make me so happy 🙏🏿Anyway naanza kua mpoleee
😹😹😹Wallah hebu fungulia watu hio private messages, kwanini lakini