Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,994
- 13,311
Shida unaficha white.Huyo anakukwepa usimchombeze 😹
Mi nilitania tu ndio tabia yangu..!!
Shida unaficha white.Huyo anakukwepa usimchombeze 😹
Mi nilitania tu ndio tabia yangu..!!
Unitag basi nasubiri hapa kwa hamu 🔥Jumamosi ya leo safi sana, soon natupia yangu, laivu laivu no emoji’s 😆
UsiondokeUnitag basi nasubiri hapa kwa hamu 🔥
Nipo tupia 😍Upo??
Ah ela vocha tu? Huyu mrembo sio wa kumhonga vocha, mpe vogue sport na hata kiwanja Cha urithi nitauza nimpe Kila kitu😅Njoo uniombe vocha😆
😉You will make me so happy 🙏🏿
Ngoja nielekee rest room mara 1, usiulize kufanya nini.Intelligent businessman unalalamika mapaka najisikia vibaya 😢
😂😂😂Ah ela vocha tu? Huyu mrembo sio wa kumhonga vocha, mpe vogue sport na hata kiwanja Cha urithi nitauza nimpe Kila kitu😅
Kweli, mi hawanipendi kakorofi 😔Uko single na chumba cha message umepiga kufuli? Hebu acha bana kutuchezea akili
Mkuu una sura ya upole sana. Je, unaimba kwaya?Intelligent businessman unalalamika mapaka najisikia vibaya 😢
Mh kamanda kaza kidogo, huu sasa ni ulofa alio usema mkapaAh ela vocha tu? Huyu mrembo sio wa kumhonga vocha, mpe vogue sport na hata kiwanja Cha urithi nitauza nimpe Kila kitu😅
Yeah aweke full body tumuone..Dondosha sasa full body
Sawa kapmzike kidogo mdogo wanguNgoja nielekee rest room mara 1, usiulize kufanya nini.
Mi sio mdogo wako, unataka kuninyima nini eboo!Sawa kapmzike kidogo mdogo wangu
Tatizo code hizo unazopigilia 😹Hamna pacha, kiwanja kipi akati niko nanjilinji
Ah kawaida tu Duniani apa tunapita tu, ukiona mrembo wa hivi hakikisha unapita nae bwana mdogo.Mh kamanda kaza kidogo, huu sasa ni ulofa alio usema mkapa
Dah si selfiki tenaMkuu una sura ya upole sana. Je, unaimba kwaya?
Katuwekea nusu ila ni mali safi kabisaYeah aweke full body tumuone..