Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Humu wengi ni kama wanawake kutoka makete njombe uko sasa hizo sura za upole zinatokea wapi
Jidanganye!

Nimetoka kushuhudia kwa macho yangu. Hili ingizo jipya halina sura za Kinyaki wala Kingoreme. Ni vyuma tupu! šŸ˜‚šŸ˜‚

 
Humu wengi ni kama wanawake kutoka makete njombe uko sasa hizo sura za upole zinatokea wapi
Eeehh 😹😹
Kwahiyo wa makete tukoje?
Jamani sisi ni wapole kasoro mimi tu ndo sina sura la upole..!!
 
Ain't serious. Ni vibe la weekend tu bana. Sema majina yako ndo yanakata maini na kuleftisha fikra: Mara kaka, mara kijana, mara mkuu dah!

Ila tu ukorofi uache! šŸ˜‚šŸ“ŒšŸ“ŒšŸ“ŒšŸƒšŸæā€ā™‚ļøšŸƒšŸæā€ā™‚ļøšŸƒšŸæā€ā™‚ļø
Anakubania huyo 😹
Hiyo kaka kwiyoo
 
Back
Top Bottom