ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 19,539
- 71,343
Unataka mwenyewe tu kua mweusi unapakaje baby care? Andaa bajeti ya skincare ung'aeBasi nabakia mwenyewe tu🤣
Unataka mwenyewe tu kua mweusi unapakaje baby care? Andaa bajeti ya skincare ung'aeBasi nabakia mwenyewe tu🤣
Hazijawahi isha utamu, sina haraka ya kuijenga duniaHahaha noma ila salama, mi hazija wahi niendesha maana nisha ziona since dogo hadi leo.
Ahh wapi hujajua sichezagi na shilingi chooni, ndio maana naweza sema no usipo tegemea.😹😹😹 Mtajenga kwa kuchelewa sana.!!
Eehh tupia km body la massage..!!
Ulivyo na beat afu mwili km wangu tu..!!
Ifike muda watu tusio na nyama tuache midomo..! 😹
Dohh haya mafuta ya kula si mchezo, ntajitahidi shoriii🤣🤣Unataka mwenyewe tu kua mweusi unapakaje baby care? Andaa bajeti ya skincare ung'ae
Tupia vitu mkuu uzi uchangamke
Weusi upo wa aina nyingi, ukiwa na ule ulofubaa ndo tatizo mwanamke unatakiwa ung'ae ngozi itelezeDohh haya mafuta ya kula si mchezo, ntajitahidi shoriii🤣🤣
Tayari mkuu. Unataka niweke na nyingine?Tupia vitu mkuu uzi uchangamke
Sasa Kumbe 😹Kwani ananiongelea mimi
Looh! Muwe mnatufundisha hivi vitu mapema wajameni😁 nianze kutafuta rangi kama ya dogo mapema😆Weusi upo wa aina nyingi, ukiwa na ule ulofubaa ndo tatizo mwanamke unatakiwa ung'ae ngozi iteleze
Yaan anajazaaLabella kwa kujaza tu😆
Hii chai haina sukariSasa Kumbe 😹
Mwenzio kapagawa umemshtua logo la JF anaiona sura yako tu!!
Kweli mwambie atupie uone balaa.!!Labella kwa kujaza tu😆
Usisahau kunitumia kapicha ukiglowLooh! Muwe mnatufundisha hivi vitu mapema wajameni😁 nianze kutafuta rangi kama ya dogo mapema😆
Mh!!!!Hongera mwanakwetu 😹
JF get together ikitokea ya sasa hivi tusijuane mana kutazuka ngumi..!!
Kuna watu waliliwa afu tatu zao pm na mzigo hawajepewa..!! 😹😹
Tutaanza kushikana mashati na kina gwapole
Usi jimalize sana, na kwa Chica Gee niseme nini 😂Sasa Kumbe 😹
Mwenzio kapagawa umemshtua logo la JF anaiona sura yako tu!!
Wewe ungepewa kitengo cha propaganda na mboga mboga ungeuaa😂😂Kweli mwambie atupie uone balaa.!!
Utakata ticket ss hivi uje bongo bila kutarajia..!! 😹😹
Walete kati mkuuTayari mkuu. Unataka niweke na nyingine?
Watu wa abroad pozi zenu 😍View attachment 3602317jua la utosini
Huyu ukimchekea ana kufukuzia ndege we haya😂😂Usi jimalize sana, na kwa Chica Gee niseme nini 😂
Hebu tuthibitishie sasa mana tuna kiu ya kuona anavyovisifia LabellaYaan anajazaa