Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,847
- 7,545
Tuma picha tuNashindwa kuelezea kwa maandishi, mkuu labda nitumie picha
Tuma picha tuNashindwa kuelezea kwa maandishi, mkuu labda nitumie picha
We kijana acha kua serious bhana 😂😂Unajua Mshana alipoanzisha huu uzi hapo chini sikuutilia maanani. Leo hata sijui ni kiranga gani kimenileta huku Selfika maana nimepata picha za karibia maingizo mapya yote. Labda nimebakiza ya Chica Gee na mwingine mmoja au wawili hivi. Hii intake yenu aisee ni moto wa kuotea mbali na wakongwe inabidi wawapishe na kuwapa heshima zenu tu maana hakuna namna. Watoto wabichi hata 20 sijui hamjafikisha halafu pisi za kueleweka.
JF hii ina marika. Sasa ni wakati wenu mpaka miaka mitatu mitano hivi ijayo nanyi mnaanza kuwashiwa indiketa na rika jipya. Ila hili ingizo lenu ni mwisho wa maneno. I salute you all aisee! Na kiongozi wenu ni huyu ShesRise_1 na viukorofi vyake feki! 😂😂😂
Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?
Eeeh apewe mtoto mkaree huyo..!Ah! Kadi ya bank? Hapo umevuka mpaka mrembo😅
Sasa utampia wapi? Kafunga PMAh ela vocha tu? Huyu mrembo sio wa kumhonga vocha, mpe vogue sport na hata kiwanja Cha urithi nitauza nimpe Kila kitu😅
Anajua wewe unakunjaIla coca analaumiwa sana humu..!! 😹
Ntamchapa kumbe anakufichia white wako.. 😹😹😹
Kadi ya bank?😹😹😹 Huyo anatakiwa kupewa kadi ya bank tu sio kufokewa..!!
Au sio 😹Komaa nipo pembeni nakusaidia kazaa🔥🔥
Mpaka utiiAu sio 😹
Nakusubiri we dogo, hebu pita basi😄Tuma picha tu
Afu mkuu yako lini?Nakusubiri we dogo, hebu pita basi😄
Tusubiri picha za warembo humu watatuma, usitake kunipa kazi ya ku-google mkuu wangu😅😅Tuma picha tu
Mi nimeomba picha ya upole inavyofananaNakusubiri we dogo, hebu pita basi😄
Zimelundikana kibao huoni mijadala ya crash huko juu🤣Afu mkuu yako lini?
Humu wengi ni kama wanawake kutoka makete njombe uko sasa hizo sura za upole zinatokea wapiTusubiri picha za warembo humu watatuma, usitake kunipa kazi ya ku-google mkuu wangu😅😅
Ain't serious. Ni vibe la weekend tu bana. Sema majina yako ndo yanakata maini na kuleftisha fikra: Mara kaka, mara kijana, mara mkuu dah!We kijana acha kua serious bhana 😂😂
Anyway Asantee mkuu🙏🙏
Achana nazo za zaman weka mpyaZimelundikana kibao huoni mijadala ya crash huko juu🤣
Unataka nikuite jee mkuu😉Ain't serious. Ni vibe la weekend tu bana. Sema majina yako ndo yanakata maini na kuleftisha fikra: Mara kaka, mara kijana, mara mkuu dah!
Ila tu ukorofi uache! 😂📌📌📌🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Sawa utanipa hivyo hivyo darling haina shida..!! 😻Yeah unastahili vogue, ila ndio hivo Sina uwezo wa kukupa. Labda matajiri utakao kuja kwako😅. Ila ukija kwangu nitakupa tutakachojaaliwa na Mungu baba😅.