Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
😹😹😹 Mkichati naona waambie..!!Pm Toka ikujue haijawahi guswa miaka 7
😹😹😹 Mkichati naona waambie..!!Pm Toka ikujue haijawahi guswa miaka 7
Uongo 😹😹Katuma tsup view once, 😂😂😂😂
Huko ziwani unakoogolea kuna chunusi wee jiachie tu..!! 😹Mnaongea vitu gani
Haya ngoja nikate na kisu 😹Legeza kidogo kamba iyo!!!
Nasubiri sana hii sikuHaya ngoja nikate na kisu 😹
😹😹😹Nasubiri sana hii siku
Mikazo classic😹😹😹
Nimejifunza kusema no kwa kila kitu, na mtu aki insist sana lazima uulize unataka nini in return. Wenzetu hawataki favours kabisaa bila kusema lengo ni nini. Hata ukinipa lazima nijue unataka nini in-return, huwezi kunipa bure bure. Sijui unanielewa 😆Nitakupa ubuyu pm 😹
Ila wanaume wa kibongo ko hamtoi pesa bila kupewa kitu? 😹😹
Kwa mimi starehe yangu ni uteute ule wenyewe, niloweke hasa had kengele nazo zilowe(nisame kwa lugha ngumu)Bamia si ute utakuwa mwingi udugu..!!
Mi nataka ya kumwaga mma mengi ili niende sawa na huyo kidudu mtu anayemsumbua chino na katerelo 😹😹
SelfikaWale wa mida ya wanga
Hahahaha,hujawahi nitambulisha km ni Shem wanguKwa nini unamkataa shem wako Labella hadharani?
We humjui huyo muhalifu😂😂😂?lamama!Hahahaha,hujawahi nitambulisha km ni Shem wangu