Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
Matajiri tunawajua hampendi sifa 😹😹Sijawahi kuwa na picha maana kila anayejaribu kunipiga picha, camera yake huungua. Tatizo la kuwa na sura mbaya hilo. Hivyo sina picha yoyote na naogopa kujipiga picha isije hii simu niliyopewa kama zawadi ikaungua. Nina uhakika ikiungua, sitaweza kuingia tena JF maana ni ngumu sana kupata mfadhili. Uwezo wangu Binafsi wa kumiliki smartphone haupo, na baada ya mafuta kupanda kila mtu ni bahili wa pesa yake. Nasema uongo wajameni - kwa sauti ya Kenyatta
G wewe si upo jikoni kwa Samuya