Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

kwani nimesema nimeshazipata?
Walahi unanilisha maneno, ila kama unanibariki napokea baraka kwa kweli na hizo pesa zije tu.
Na kama zipo unataka utumie? What do you have to offer?๐Ÿ˜†
Nitakupa ubuyu pm ๐Ÿ˜น
Ila wanaume wa kibongo ko hamtoi pesa bila kupewa kitu? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Hatareee sana..!!
Siku hizi ujanja kumiliki password ya piemuni..!!

Ukirusha mpodido nauangalia kabla ya muhusika..!! ๐Ÿ˜น
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wee huogopiii? Kutazama noninoo za kina nanihii?
Alooooh
 
Back
Top Bottom