Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimechekaaa ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ila wewe jamani una mineno kumbe? ๐Ÿ˜น

Eti mikengele nayo ilowe ๐Ÿ˜น
Watu mnapenda mchezo mbaya..!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Thubutuuuuu!! Fisi wa katavi sahivi wana njaa hatarii, hata wakirushiwa kiatu wanapita nacho, sembuse mnofu.
Wee.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜นHakuna fisi wamehamishwa ss hivi..!!
 
Back
Top Bottom