cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,987
๐๐๐ ila mie ntakufa niko hoii.๐น๐น๐น Hamna sema kale kapicha kake kalikuwa fire sana siku ile..!!
Hivi mwanamke unaweza kunyetuka na pic ya mwanaume tu! Mi mbona siwezi ๐น๐น
Kuna Gentle huku namchezesha kidamalii, nikamchora atume ududu, si katuma kwelii, aloooh
Au baasi, ๐๐๐ naangaliaa, alivyo na alichojaliwa tofautiii.