Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 Pole siitaki, nasemaje huyo mwanamke hanijui namkatia kijora na tarumbeta mpk huko ziwani..!!

Kwanza ziwa gani yupo? 😹
Victoria, 😂😂😂
Naomba niwe msasambuaji, kwenye usiku wa rusha roho ya mke mwenza ako uduguuu.
😂😂😂
 
Nshomilee kumbe? 😹😹😹

Kwahiyo kawafata wenye maji mengi? 🙆‍♀️
Ngoja na mimi nianze kula ndizi kwa wingi SIKUBALI..!!!
Ule matokeee mwaegoo, urushee majiii.
😂😂😂😂
 
Matajiri tunawajua hampendi sifa 😹😹
G wewe si upo jikoni kwa Samuya
Ukitaka siku hizi kuua mtu, usiite Mwizi Mwizi sema tu, yupo karibu na samuya! Ndugu yangu unanitafutia kifo. Nafanya kazi kWa Mchina tu hapa vingunguti
 
Usingizi wangu ulikua mbaya sana aisee..!!

Hizo pesa sasa ziko wapi ulizotafuta tutumie mkaka mtafutaji 😀
kwani nimesema nimeshazipata?
Walahi unanilisha maneno, ila kama unanibariki napokea baraka kwa kweli na hizo pesa zije tu.
Na kama zipo unataka utumie? What do you have to offer?😆
 
Victoria, 😂😂😂
Naomba niwe msasambuaji, kwenye usiku wa rusha roho ya mke mwenza ako uduguuu.
😂😂😂
Jiandae shuhuli tunayo 😹😹
Tena usasambue na misamba ya mama shea..!!
 
Back
Top Bottom