Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,710
Ngoja kwanza mpk nitulie hii ni time ya shem wako 🤣👌Twanga foto wog 😹
Ngoja kwanza mpk nitulie hii ni time ya shem wako 🤣👌Twanga foto wog 😹
Dunia nzima ilikuwa against arsenal.Chino ushawahi kuona mtu anacheka kwa hasira? 😹
Yani moyo unaniuma mpk nimeamua kucheka Arsenal ataniua na presha..!!
Sio mbaya tuna eplDunia nzima ilikuwa against arsenal.
Hata usipite kwanza ngoja machungu yapungue..!! 😹😹Ngoja kwanza mpk nitulie hii ni time ya shem wako 🤣👌
Asiekubali kushindwa si mshinda, afu kuna mdada mzuri ila hakuna mkaka mzuri..wanaume wanasifiwa utafutaji sio suraHata hamu ya selfie sina..!!
Nilipanga nipite naked leo na jezi langu la Arsenal. Kilichotokea si umeona mkaka mzuri?
Hahahaha,mie napita 00:59,stay tuneHata hamu ya selfie sina..!!
Nilipanga nipite naked leo na jezi langu la Arsenal. Kilichotokea si umeona mkaka mzuri?
Mbona nimepita sana humuu atii, 😂😂😂Nyie zenu lini? Nina muda sijawahi ona picha ako
Haswaaa 😂😂😂Coca hasemi uongo ni kweli una demu wa ziwani 😹😹
Pita sasa hivi tukuone na mimi mapita nakedMbona nimepita sana humuu atii, 😂😂😂
Kwaniniii vumbii sasa nawee? 😂😂😂😂Unalala sana mpk unapitwa nawe 😹😹😹
Mwadui beibii vumbi tupu..!!
Nachoka sana mimi kila nikiangalia pa kuchambia sipaoni kmmk walllaq 😹🤣🤣
coca em nibless weekend yangu iwe buruuudaaa!!
😂😂😂😂😹😹😹 Sitaki wewe si una mchepuko ziwani..!
Yani chino unataka kuniletea yutiayi sugu mimi na vichocho? 😥😹😹
Baki huko huko baridi liwapulize na demu wako..!!
Kwelii chinoo una mamsapuu huko unshomileniii.
Muongoo wee chinooo, khaaah 😂😂😂😂Nimefulla hatari hapa kwa hasira ebu njoo tufarijiane
Toka ninase kwa toto la kikinga sijawahi paparuka kabisa
Daaah ila arsenal, mmmhHata hamu ya selfie sina..!!
Nilipanga nipite naked leo na jezi langu la Arsenal. Kilichotokea si umeona mkaka mzuri?
Pitaa kwanii wee hapo,Pita sasa hivi tukuone na mimi mapita naked
AlamsikiPitaa kwanii wee hapo,
😂😂😂Alamsiki
Sijawahi kuwa na picha maana kila anayejaribu kunipiga picha, camera yake huungua. Tatizo la kuwa na sura mbaya hilo. Hivyo sina picha yoyote na naogopa kujipiga picha isije hii simu niliyopewa kama zawadi ikaungua. Nina uhakika ikiungua, sitaweza kuingia tena JF maana ni ngumu sana kupata mfadhili. Uwezo wangu Binafsi wa kumiliki smartphone haupo, na baada ya mafuta kupanda kila mtu ni bahili wa pesa yake. Nasema uongo wajameni - kwa sauti ya KenyattaTupia picha G nikuone basi 😀