Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,553
- 7,608
Chino ushawahi kuona mtu anacheka kwa hasira? 😹Nimefulla hatari hapa kwa hasira ebu njoo tufarijiane
Toka ninase kwa toto la kikinga sijawahi paparuka kabisa
Yani moyo unaniuma mpk nimeamua kucheka Arsenal ataniua na presha..!!