Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kabisaa zije kwa flight, [emoji23][emoji23][emoji23]
Wafiwa na waombolezaji wasikose sare,
😹😹😹 Nipo nasinzia hapa dukani km teja.
Hii tabia ya upopo JF niliacha kitambo naona inaanza kurudi..!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] tag locs nije kukusaidia kuuza vijora uduguu,
😹😹😹 Mtaa wa Kongo nimemwaga chini na speaker ya kuitia wateja inaunguruma..!!

Naweka na taarabu kidogo huku tunacheza 😹😹😹

Niliona sehemu lile chizi la mwadui linasema nateseka juani kuuza vijora angejua angetuliza kalio akatafute blauzi ya kueleweka minadani kwao huko wanakouziwa mang’ombe na nguo kwa pamoja..!! 😹😹😹
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Mtaa wa Kongo nimemwaga chini na speaker ya kuitia wateja inaunguruma..!!

Naweka na taarabu kidogo huku tunacheza [emoji81][emoji81][emoji81]

Niliona sehemu lile chizi la mwadui linasema nateseka juani kuuza vijora angejua angetuliza kalio akatafute blauzi ya kueleweka minadani kwao huko wanakouziwa mang’ombe na nguo kwa pamoja..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani hamjamalizana wee na huyo mwenzio? Kwani mmekwazana wapiii? Unajua mie sielewiii? Shengesha ya Depal na Fake P, Sasa nyie tena yanakujajeee??

Nakujaa uduguu nijichagulie na vijora vya kushindia home. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado husahau? [emoji81][emoji81]
Mwenzio jana kaamua kuchangamsha kijiwe.
Pesa mchezo [emoji81][emoji81]

Yani km nakuona ulivyoandaa mate ya kuhesabia..!!
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu huyu asinitanie, pumbaaavu zakee.
Afanye kutuma muamalaa. Khaaah
Sitaki utani mie.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani hamjamalizana wee na huyo mwenzio? Kwani mmekwazana wapiii? Unajua mie sielewiii? Shengesha ya Depal na Fake P, Sasa nyie tena yanakujajeee??

Nakujaa uduguu nijichagulie na vijora vya kushindia home. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kudandia treni kwa mbele 😹😹😹
Yani muda wote linaniwaza sijui linataka nilisage? 😹

Njoo ujichukulie vijora tumeshusha mzigo mupyaaa wa namba E 😹
 
Back
Top Bottom