Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
😹😹😹 Ukute babu Miga udugu kaja kutuchallenge..!!Uduguu ndo kuotea hadi kwa huyo?? Kweli tumepatikanaa. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹 Ukute babu Miga udugu kaja kutuchallenge..!!Uduguu ndo kuotea hadi kwa huyo?? Kweli tumepatikanaa. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
Na amesha jimix, niliosema wawili kumbe kweli m1 wapoo.[emoji81][emoji81][emoji81] Atajimix tu!
noma na nusu, mi naangalia korean series si unajua u popo!Nakuwa busy sana, kama sahii nimetulia nimechoka mbaya. acha nipumzishe hili fuvu tu
O P P O 😁😁Kumbee wee ni Lekcharaaaa, sasa si uje na I'd yako ya JP.
nilijua tuu, [emoji23][emoji23][emoji23]
Yote yanawezekana ujue 😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu ntaangusha cm, mie sitaki sasa, khaaah
Nacheka km mwehuu
Intell si kasema hapo ni babu Miga kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81] Ukute babu Miga udugu kaja kutuchallenge..!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Yote yanawezekana ujue [emoji81][emoji81][emoji81]
Umbea wote umetuisha Leo 😹😹😹Kazini kuna kazi, ndo hii Leo. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] hatariiiUmbea wote umetuisha Leo [emoji81][emoji81][emoji81]
😁😁 Cairo ndio haufiki tena 😁😁Ushajipa na ubaba lol! 😹😹
😹😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23] nakuhurumiaa.
😁😁 serikali ina mkono mrefu😹😹😹 Umeanza kukwepa
Kumbeeeee 😹😹😹National una mambo ya kingese!
😁😁 24 😁😁😁 au unataka yenyewe 18😹😹😹 Gold za karat ngapi?
Pacha kwani we una zungumzia nini?Kumbeeeee 😹😹😹
Na Mimi nilimuhisi
Hujatuma account 😁😁[emoji23][emoji23][emoji23] hatariii
Wacha weeeh 😹😹😹Njoo basi PM hutaki tuanze safari
View attachment 3587837
Ukute yule lecturer chapombe anaitwa nani vile? Tulikua naye humu selfika..!!Kumbee wee ni Lekcharaaaa, sasa si uje na I'd yako ya JP.
nilijua tuu, [emoji23][emoji23][emoji23]
😁😁 tuma account, mnatembelewa na malaika mna mtupa.. hisia sio nzuri, mtaja ponza watu au kuleta tafrani kwa watu wasio husikaa.. tuma account tuma accountAYnay
Wee ni Babu Miga au Lekcharaa, hutokii humo, yaan hapo hapo ndo nakuweka.
[emoji23][emoji23][emoji23]