cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,312
- 187,978
Tayariiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81] Tayari Mara hii
Tayariiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81] Tayari Mara hii
Hisia zenu bado sanaa, mpo mbali sana na ukweli kuna watu wameisha zikwaa mnawapa uhusika wa uhaiNational anthem 😹😹
😹😹😹😹 Kesho nitakuja hapa na id yako..!!😁😁 mtakuja waingiza watu kwenye shida kwa hisia ambazo sio kweli, wengine mnahisi lakini wapo zao motoni kwa zirael
Kumjua lekcha pale COET, sio sawa na I'd yake humu sasa.Kama P O anamfahamu dk sifuri tu.. angenijua lakini sio kwa ID ya humu [emoji16][emoji16][emoji16] humu mtawakosea watu kwa kuwahisi vibaya wakati na wengine wamejifia akina mzabazab [emoji16][emoji16]
Mbona km anagoma. 😹😹Ni lekcharaaaa
Nataka hela pia, kufa kupo tu.Wee hukomi ujue [emoji81][emoji81][emoji81]
Wee ni muongoo sasa, wee si utatuma hela kutoka kwa acc yako kuja kwa no angu, shida iko wapiii?[emoji16][emoji16][emoji16] Tuma account tuma account
.. Usitume namba tuma account
Hutumi account nikapumzike 😁😁Tayariiiii [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni yeyee, anagoma kujifaragua tu, ni yeye huyu.Mbona km anagoma. [emoji81][emoji81]
😁😁 haya tuma mtoto mzuriWee ni muongoo sasa, wee si utatuma hela kutoka kwa acc yako kuja kwa no angu, shida iko wapiii?
Hauko serious wee, [emoji23][emoji23][emoji23]Hutumi account nikapumzike [emoji16][emoji16]
Mualiko wa kati kati ya nchi umegomea, kutuma account umegomea.. basi tenaaa kuhisi kwa usahihi bado ume chemkaa. Niondoke na dollar zangu
😹😹😹😹 Sio kweli we tupia..!!😁😁 huku nyie si mna dowload pichaa nasikiaaa
😁😁 sasa nigome kwanini bado upo mbali na ukweli, P O ungekuwa una mfahamu kidogo ungepata mwangaza.. ila hizo zote mna husisha ni chenga tupuNi yeyee, anagoma kujifaragua tu, ni yeye huyu.
Tamaa ilimponza fisi coca 😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23] natuma no ya kupokelea.
Na national naye kafa? 😹😹Hisia zenu bado sanaa, mpo mbali sana na ukweli kuna watu wameisha zikwaa mnawapa uhusika wa uhai
😁😁 Unataka kuona juu au chini😹😹😹😹 Sio kweli we tupia..!!
Sasa hizo pic OG au zinazodownloadiwa mbona hawazileti?
Maneno ya wakosaji hayo..!!
Tupia foro wewe 😹
Hela za JF 😹😹Nataka hela pia, kufa kupo tu.
😹😹😹😹Ni yeyee, anagoma kujifaragua tu, ni yeye huyu.
Usimuogopeshe mtoto mzuri, Tanzania ya mama Samia ipo salama sanaa. Usimtishe mwenzako acha ajipatie hela ya weekendTamaa ilimponza fisi coca 😹😹😹
Juu na chini 😻😁😁 Unataka kuona juu au chini