Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukute yule lecturer chapombe anaitwa nani vile? Tulikua naye humu selfika..!!
Kama P O anamfahamu dk sifuri tu.. angenijua lakini sio kwa ID ya humu 😁😁😁 humu mtawakosea watu kwa kuwahisi vibaya wakati na wengine wamejifia akina mzabazab 😁😁
 
Kama P O anamfahamu dk sifuri tu.. angenijua lakini sio kwa ID ya humu 😁😁😁 humu mtawakosea watu kwa kuwahisi vibaya wakati na wengine wamejifia akina mzabazab 😁😁
Bana mzabzab kwan amekufa? 😥

Wewe humu mwenyeji upo kutuchora tu!!
 
Back
Top Bottom