Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣Nipo chooni huku naperuzi jf! Harakaharaka nikawaza T tatu??? Nikakumbuka kitu nimecheka sana.

Ubaya yule dada nimesahau jina lake la IG halafu picha zenyewe nilifitaga muda.
Umeanza lini kuogopa kutupia weyeee?? Fanya manuva fastaaa usinangushe buana,, sema kuna workmate anakodoleajeee hapa napoperuz em ngoja kwanza
 
😹😹😹 Kijana wa 2007 yuko msupuu..!!
Ana rangi tamu ile inayopendwa kikeni..
Kikeni😃🤔

Kiswahili kimenishinda😃😃👋
Gy-efI6WQAAPp4Y.jpeg
 
Back
Top Bottom