Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,066
- 33,755
Afunguke chap😃msimu wa mavuno huuMda ni mchache😂🙌🏾
Afunguke chap😃msimu wa mavuno huuMda ni mchache😂🙌🏾
Hahahaha,Mzee mwenzangu nipo, nimetupia pm huko angaliaMzee mwenzangu upogo kumbe!!??? Karibu kijiweniii utupiee
Ebu aje Razorblade tumalize.Nimekaza babu si kuna jamaa akapiga alafu ananiomba case😃😃
Hapa kijiweni ndo penyeweee kamanda usogope wee nyani mzee bila shaka ushakwepa mishale yakushatroo . Haya do the needful lunch yangu iteremke vizuriiiHahahaha,Mzee mwenzangu nipo, nimetupia pm huko angalia
Umemaliza mkuu😂🙌🏾 hatuongei sana kama RazorbladeAfunguke chap😃msimu wa mavuno huu
Hahahaha,hebu nichokoze kwanza kwa kuonesha mfn ukitupiaHapa kijiweni ndo penyeweee kamanda usogope wee nyani mzee bila shaka ushakwepa mishale yakushatroo . Haya do the needful lunch yangu iteremke vizuriii mi
Nna cha kukuchokozea sasa! Mi sina jipya mzee mwenzangu hebu jaribu kunishtua weye nishtukeHahahaha,hebu nichokoze kwanza kwa kuonesha mfn ukitupia
Hahahaha,basi subiri Ile muda watoto wamelalaNna cha kukuchokozea sasa! Mi sina jipya mzee mwenzangu hebu jaribu kunishtua weye nishtuke
Acha wogaaa kamanda!Hahahaha,basi subiri Ile muda watoto wamelala
Hahaha gudubai poa.Hi Intell, now nipo busy mpaka badae mida ya mapopo 😄🚶♀️ gudubai nalog out
mzee kijana kwenye moyaa na limbi 🙂View attachment 3587584
Hello Tuesday 🥂
Our shoes should be matching 😎View attachment 3587584
Hello Tuesday 🥂
sogeza camera juu kidogo kuna kitu nataka kuona😎Our shoes should be matching 😎View attachment 3587633
😅 Juu hadi wapi mkuu.. usije ukawa jirani yangu hapa unanichora tuu pembenisogeza camera juu kidogo kuna kitu nataka kuona😎
Ukichelewa kuangalia hunikuti mna kwenye picha sikaagi sana😹😹😹
Em tupia picha nikuone honey bunny wangu 🥰🥰
Hati ile itakuwahisha kwq baba mbinguni mana utatupiwa majiniWakinga tuna mahaba na pesa..!! 😹😹
Em jitahidi basi kuwa romantic we mzaramo.
Vitu vidogo km hati navyo ni vya kupigiana kelele kila siku kweli? 😥😌
BothMtumishi humu Kuna kuselfika au ni mastory tu
🤣🤣🤣Asije akasindwa kucheza coop night😂
Anza mapema sasa
hapan sio jirani yako,,😅 Juu hadi wapi mkuu.. usije ukawa jirani yangu hapa unanichora tuu pembeni