Dah Embu nikanyage mafuta ya mwamposa maana sio kwa nuksi hizi😃😃"You have a very statuesque elegance about you"
Nliwahi msikia Selikavu akikusifia😂🙌🏾
Razorblade aje acheze co op😂🙌🏾
Huna nuksi 😂 hujaamua kukazaDah Embu nikanyage mafuta ya mwamposa maana sio kwa nuksi hizi😃😃
[emoji23][emoji23][emoji23] poleee,Dah Embu nikanyage mafuta ya mwamposa maana sio kwa nuksi hizi[emoji2][emoji2]
Poleee wee, [emoji23][emoji23][emoji23]Msiniambie nimepitwa tena[emoji848]
View attachment 3587298
Mpe tani mbili akija nitalipia😃😃
Uje na fuso😂Ataniruhusuu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee nakuja na semi Trailer kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23]Uje na fuso[emoji23]
Nimekaza babu si kuna jamaa akapiga alafu ananiomba case😃😃Huna nuksi 😂 hujaamua kukaza
Limeisha hiloNawee pia ba tamuu, ulale unonoo. Unioteee.
Afu Ba tamu, em tengeneza picha ya mdada, afu awe amenyoa low cut, nataka iwe avatar yangu ya humu Rasmii.Limeisha hilo View attachment 3587299
Utaamini nilikuwa nazima data nilale pia?, hebu selfika ndio ukalaze fuvuSijambo za kwako? Leo nilikuwa busy mbaya acha nilale zangu Usiku mwema 🚶♀️
Yaani nimechoka nikasema ngoja nicheki Jf mara moja …. tufanye kesho tuUtaamini nilikuwa nazima data nilale pia?, hebu selfika ndio ukalaze fuvu
Same here, pole ndio maisha hayo. Have a nice night ukorome haswa.Yaani nimechoka nikasema ngoja nicheki Jf mara moja …. tufanye kesho tu