Wakinga tuna mahaba na pesa..!! 😹😹Dah! Kwel haya mahaba, haya ya kitanga sasa. Wewe huyawez
😹😹😹Mahar yako nalipa mwenyew sitak mchango wa mtu
AmeeenBwana Yesu Asifiwe mtumishi katika Bwana
U hali gani...??
Nyonga mkalia ini wako kasema anataka ahamie moyoni 😃😃😃
Kasema anaomba lipa namba yako ya TTCL akuwekee chochote kitu😀😀😀😀Ameeen
Mwambie aache maneno
Atume pesa kilq kitu kitaenda sawa ht rohoni atakaa🤣🤣🤣
Kwavile anajuq similiki ttcl🤣🤣🤣Kasema anaomba lipa namba yako ya TTCL akuwekee chochote kitu😀😀😀😀
Shida alipo TTCL tuu ndo inashika😀😀😀Kwavile anajuq similiki ttcl🤣🤣🤣
Ngoja aje😀
Maana we bamtu wa coca sikuamini amini🤣🤣🤣🤣Ngoja aje😀
Mda ni mchache😂🙌🏾Mahari yako sh ngapi mkuu tulete😃😃mtachunguzana mbele ya safari😃😃
🤣🤣🤣🤣Mgusie view once moja iliyoonyoka 😂😂 plus
A romantic word anapona mapema sana ..
NdioRight nowwwww!
Mtumishi humu Kuna kuselfika au ni mastory tu🤣🤣🤣🤣
Au sio
Humu watu wavivu sana,kutupia😹😹😹
Em tupia picha nikuone honey bunny wangu 🥰🥰
Asije akasindwa kucheza coop night😂🤣🤣🤣🤣
Au sio
Siku mkioana itabid mnilipeMaana we bamtu wa coca sikuamini amini🤣🤣🤣🤣
Mzee mwenzangu upogo kumbe!!??? Karibu kijiweniii utupieeNdio