theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,715
Leo niko jikoni naandaa kuku...
Kuwa bachelor kuna karaha yake...
Kuwa bachelor kuna karaha yake...
kinalipwa na mwanaye...hivyo mwanao kazi anayo leo
Kiendacho kwa mkwe?
panapo 
Mambo ya lemonadeKaribuni,ki home zaidi View attachment 1287826
JF imeanza miaka 13 iliyopita...now tell me kwa walioanza na JamboForums huyu mwenye ako na 20yrs sasa, back then alikuwa ako na miaka mingapi...Hahahaha lakini huku JF utaitwa mtoto,, mkuu wewe ni me au ke??
Cha msingi silipi mimi mkwe, hivyo heri tukinalipwa na mwanaye...hivyo mwanao kazi anayo leopanapo
![]()




Ni moccah Kali sana
Huu sio ulanzi kweli?Karibuni,ki home zaidi View attachment 1287826
Nitaitwa mjukuu kabisa,Hahahaha lakini huku JF utaitwa mtoto,, mkuu wewe ni me au ke??





Mimi meSawa shikamoo mamaUwe unaamkia sasa!
Hahahaha, ndio mwenyewe huoHuu sio ulanzi kweli?
Haswaa humu tumejaa wajukuu wengi mno, mtusamehe tu wakubwa zetu na mtufunze adabu na heshima.Sasa si atamkia na wadogo zake humu ndani kuna vitoto vingi ni changanyikeni hiyo inaitwa, unaweza kuta unajibishana na mwanao humu
Haswaaa,December fever imeanza ,kdg kdgMambo ya lemonade
Hahahaha, mlinzi navuta kasiMlinziiiiii nakuona nakuona sema huu uzi nimegundua wengi mnapiga gambe sana sio wanawake sio wanaume