Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wakiyaleta huku wewe inakuhusu nini? Kiungo gani chako kinatumika?

Mngese mwenyewe ambae muda huu umeshindwa kulala unahangaika na uzushi usiokupa hata mia
Sasa si ndo utulie tuone hayo madude meusi 😹😹😹

Mi nalala vipi na ubuyu km huu unashushwa? We mwenyewe unaogopa zigo lako likiwekwa hapa..!! Kutesa kwa zamu na zamu yako imefika..!! 😹😹😹
 
Kanusha hizi mambo.

1. Nyumbani kwake hakuna wavu wa mbu kwa dirisha.
2. Hana diploma kutoka chuo cha mipango Dodoma.
3. Hakua analiwa na wajeda wa kota za msalato.
4. Baba yake hakua mjeshi na hadi kafa hajafika rank ya fake p.

Na utueleze hapo Bank Arusha uhasibu kaupataje, [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu twende sawa,
Wewe kwenu kupoje? Ulitaka kwao kuwe vipi? Pana ubaya gani? Baba yako na mama yako wanalala wapi? Tuonyeshe pia tulinganishe. Mbwaa nyinyi

Diploma inaubaya gani? Mark Zuckerberg ni drop out lakini ni bilionea.

Deppal ni mwanamke ulitaka asiliwe? Hilo linakushangazaje? Wewe ni mwanaume unaliwa, mbona hushangai?

Baba yake anahusu nini mambo yenu. Mmekosa cha kusema?

Hujui kazi inapatikana vipi? Nenda na wewe katume cv upate
 
Sasa si ndo utulie tuone hayo madude meusi 😹😹😹

Mi nalala vipi na ubuyu km huu unashushwa? We mwenyewe unaogopa zigo lako likiwekwa hapa..!! Kutesa kwa zamu na zamu yako imefika..!! 😹😹😹
Wewe dude lako lipo wapi
 
Huku ni kushindwa. Ulijua uzushi mlioweka wati wote tutamchukia? Fanye kazi zingine hii imefeli. We love her, we will protect her
Sasa km humchukii sisi inatuhusu nini? 😹😹😹
Kwanza unaanzaje kujichukia mwenyewe D em tulia file lako lishushwe..!!

Hizi kelele hazikusaidii kitu sanasana unatuchekesha hapa..!!
 
Fanya kazi tafuta pesa hutapata muda wa kuwaza huu usengerema unasema
Wewe mwenye kazi muda huu unafanya nini hapa? 😹😹😹

Siku hizi hatufanyi kazi mngese wewe, pesa zetu zinatufanyia kazi upo dunia ipi??

Umezoea kula ugali wa shikamoo au mpk utume dude jeusi pm ndo ule? 😹😹😹
 
Back
Top Bottom