cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 188,000
Sasa mie nimchukie Debo kwanini yaani? Sjawahi hata ingia nae migogoro, thou tulishawahi kuwa wake wenza.Huku ni kushindwa. Ulijua uzushi mlioweka wati wote tutamchukia? Fanye kazi zingine hii imefeli. We love her, we will protect her
Sisi tuko hapa kufatilia ubuyu kati yake na fake P. Em acha kuchachawa tulia bwashee. Lol [emoji23][emoji23][emoji23]