Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hatari sana, sema huu uzi umepitia mengi. Kuna kipindi mpaka wenyewe ukala Ban ๐Ÿ˜‘
Ndio uzi unaoongoza kwa ban na ndio uzi unaoongoza kwa fan wake kula ban๐Ÿ˜‚

Ile ya siku ile si sawa na kuwapa wachezaji red card mp aka na mpira wenyewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ndio uzi unaoongoza kwa ban na ndio uzi unaoongoza kwa fan wake kula ban๐Ÿ˜‚

Ile ya siku ile si sawa na kuwapa wachezaji red card mp aka na mpira wenyewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Balaaa, halafu kipindi kile nilikuwa nasoma kimya kimya nikashangaa Kufuli kubwa ๐Ÿ˜€
 
Balaaa, halafu kipindi kile nilikuwa nasoma kimya kimya nikashangaa Kufuli kubwa ๐Ÿ˜€
Zilitembezwa ban mpaka nikasema moderator wa leo kapata mjani nini๐Ÿ˜‚ Halafu akamalizia na uzi wenyewe๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Uwanja uwe safi leo saa 3 kuna pambano, hakuna kuita mods wanoko tunawajua..!!

Wenye picha zenu tulieni nazo mtaendelea kesho..!! Leo uwanja uko busy..!!

Hakikisha una popcorn na utulie kushuhudia which is which.. SAWASAWA? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Nuzulati wifi njoo kijiwe kina uzinduzi huku
Jamanii nakuja nawe umepigwa ban๐Ÿ˜ฅ
 
Back
Top Bottom