min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,782
- 165,424
Kuna sehemu nimesema ,umesema weupe ni tatizo ?Kuna sehemu nimesema uweupe ni tatizo?
Kuna sehemu nimesema ,umesema weupe ni tatizo ?Kuna sehemu nimesema uweupe ni tatizo?
The way ulivowasilisha swali lako.Kuna sehemu nimesema ,umesema weupe ni tatizo ?
Hapana nimeuliza tu bila kujalisha wewe umesema niniThe way ulivowasilisha swali lako.
We mseng.e umejuaje nimesoma DIT hahaha MAKANGEMBUZI nipo uchi jfMbona hapa kama mweupe sana mwanaDITSO.
Nondo for everybodyFamilia hapo kwenye chuma🔥🔥🔥
Huyu ananijua kaka amenizingua.Kumbe weupe huwa ni tatizo bwashee?
Mkuu umewahi kufanya mazoezi mfurulizo then ukapumzika kama mwezi hivNondo for everybody
Njoo tule ugali wa babu Msunga hapa Canteen.We mseng.e umejuaje nimesoma DIT hahaha MAKANGEMBUZI nipo uchi jf
Mimi ratiba ikiwa ngumu napotea gym hata mienzi mitatu ila kila siku asubuhi napiga push 400+ (40 × 10),huwa nalinda frame ya body isipotee na power ya mikono inakuwepo hata siku nikirudi chest naanza na uzito mkubwa 70kg.Mkuu umewahi kufanya mazoezi mfurulizo then ukapumzika kama mwezi hiv
Nn hua kinatokea kwenye mwili wako?
Mimi misuri inakaza na napata maumivu
Hahahaha kitambo sana kaka kweli wakati ni ukuta.Njoo tule ugali wa babu Msunga hapa Canteen.
Unagonga ugali flan wa kisukuma na nyama unamalizia na juice ya miwa kwa yule Muha 🔥🔥.Hahahaha kitambo sana kaka kweli wakati ni ukuta.
Basi watu tunatofautiana mimi nikipmzika nanenepa sanaa na pia misuri ya miguu ya makalio inakua inakaza yaan inauma sanaMimi ratiba ikiwa ngumu napotea gym hata mienzi mitatu ila kila siku asubuhi napiga push 400+ (40 × 10),huwa napungua ila frame ya body inabaki na power ya mikono inakuwepo.
Ila nikirudi gym(2hrs) huwa nakamia sana kwa mwenzi napumzka siku tano tu, mwili unauma siku nne tano za mwanzo misuli ikiachia hakuna maumivu tena ni kufumuka tu.
Nikipumzika sisikiagi maumivu napunguaga kimtindo push up ndio huwa zinanilinda.
Mjukuu wa ngoda sasampa una pakia ka gunia la kizimkaziUnagonga ugali flan wa kisukuma na nyama unamalizia na juice ya miwa kwa yule Muha 🔥🔥.
HahahahaSiogopi😂⚔️ Eka basi nikuongeze🙄View attachment 3556257
Ukimaliza hapa unaenda kugonga msuli wa Data Structures and Algorithms.Mjukuu wa ngoda sasampa una pakia ka gunia la kizimkazi
Baba hadi wewe🫣😀😀😀
![]()
88K views · 2.1K reactions | 🦅 Akili za Wanaume 😂😂😂 Powered by @galsportbettingtz @evodear_beauty_skincare | Davis Nziku
🦅 Akili za Wanaume 😂😂😂 Powered by @galsportbettingtz @evodear_beauty_skincarewww.facebook.com
Dah msosi lazima ukateUkimaliza hapa unaenda kugonga msuli wa Data Structures and Algorithms.
Ile juice ya miwa yule jamaa kama kafukia mtu alikuwa na damu kali sanaUnagonga ugali flan wa kisukuma na nyama unamalizia na juice ya miwa kwa yule Muha 🔥🔥.
Mangi naskia Msosi wa DH uliukataa kabisa ukaufananisha na Msosi wa Staki Shari.Ukimaliza hapa unaenda kugonga msuli wa Data Structures and Algorithms.