cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,999
Aaah wapiii?? 😂😂😂Selfika nitulie sasa 😂
Aaah wapiii?? 😂😂😂Selfika nitulie sasa 😂
Habari hazipo dada ni kutupia tu🥴Habari za hapa
Tupiamo kapicha mekumiss 😎Habari hazipo dada ni kutupia tu🥴
Picha natoa wapi tafanya marudio tu😂Tupiamo kapicha mekumiss 😎
😁😁 hayaPicha natoa wapi tafanya marudio tu😂
Huogopi kuvamiwa na majini ya Jf usiku huu 😁😁Nilikuwa naitafuta😂
Ndio tupo watatu mimi wewe na baba yako😂Huogopi kuvamiwa na majini ya Jf usiku huu 😁😁
Wa 3 kwa macho ya nyama 😁Ndio tupo watatu mimi wewe na baba yako😂
Siogopi😂⚔️ Eka basi nikuongeze🙄Wa 3 kwa macho ya nyama 😁
Kiroho tupo weengi we haya
Ngoja nile dakuSiogopi😂⚔️ Eka basi nikuongeze🙄View attachment 3556257
Ulale sasa ukue03:00 muda wa kukemea watesi⚔️
Ilikuwaje tukakesha? Uwii🙆🏽♀️Ulale sasa ukue
Sijui upande wakoIlikuwaje tukakesha? Uwii🙆🏽♀️
Mbona hapa kama mweupe sana mwanaDITSO.Huu uzi unaanza nilikuwa maseke balaa nanga inapaa.....kumbe maisha matamu hamusemi acha na mie nijipost.
Familia hapo kwenye chuma🔥🔥🔥Huu uzi unaanza nilikuwa maseke balaa nanga inapaa.....kumbe maisha matamu hamusemi acha na mie nijipost.
Kumbe weupe huwa ni tatizo bwashee?Mbona hapa kama mweupe sana mwanaDITSO.
Kuna sehemu nimesema uweupe ni tatizo?Kumbe weupe huwa ni tatizo bwashee?