Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,315
una rangi ya mitume kudadadeki, hizo thighs ka mko watatu lol😊😅
una rangi ya mitume kudadadeki, hizo thighs ka mko watatu lol😊😅
Giza lina kudanganya, kodoa kidogo utaona maajabu.Mi namuona spongebob 🥴
Vua shades am blackq😂, thighs nipo kwenye kufanya diet maana ushangazi sio poa😃una rangi ya mitume kudadadeki, hizo thighs ka mko watatu lol😊😅
Hapana kitu eka vitu🫴🏾Giza lina kudanganya, kodoa kidogo utaona maajabu.
you're terrible liar, thighs ziko cc cool, katumbo si kabaya pia if you know what I mean 😅.Vua shades am blackq😂, thighs nipo kwenye kufanya diet maana ushangazi sio poa😃
Dah mi kimbau umbau, nikipiga picha camera inasema battery low shutdown.Hapana kitu eka vitu🫴🏾
Am nah lying mehn😃 katumbo kameingizwa ndani kidogo(what do u mean🥴)🤗you're terrible liar, thighs ziko cc cool, katumbo si kabaya pia if you know what I mean 😅.
Unaweza kuanzia. Late 20s au 30s inategemea kama utaukaribisha😂U shangazi na u mjomba kuanzia ngapi?
Unataka uwe bonge ili iweje? Diet ni ngumu hebu eka mavituz😂🤸🏽♀️Dah mi kimbau umbau, nikipiga picha camera inasema battery low shutdown.
I mean holding katumbo kadogo is cool, nikikupa koti lake hutaonekana kifaru😅.Am nah lying mehn😃 katumbo kameingizwa ndani kidogo(what do u mean🥴)🤗
Unaweza kuanzia. Late 20s au 30s inategemea kama utaukaribisha😂
Trust me I'm a certified food lover and water, napiga ugali, wali kg1+ mwenyewe na sinenepi.Unataka uwe bonge ili iweje? Diet ni ngumu hebu eka mavituz😂🤸🏽♀️
Hahaa navaa zangu big size T-shirt, eti kifaru lol 😆I mean holding katumbo kadogo is cool, nikikupa koti lake hutaonekana kifaru😅.
Aww 😊 , that’s great to know.. sasa weka picha hapo nijiridhishe! Hao ndio ninaowataka😁Then mi bado sana, maana super tall with some touch of kimbaulization
Kg 1 ni uongo, kunywa smoothie zenye peanut, lala mchana, kula fats, kula ngano ya tbl, utaanza kuona kitambi soon..Trust me I'm a certified food lover and water, napiga ugali, wali kg1+ mwenyewe na sinenepi.
Mi naringa ringa, we endelea kuwataka hao 😅Hahaa navaa zangu big size T-shirt, eti kifaru lol 😆
Aww 😊 , that’s great to know.. sasa weka picha hapo nijiridhishe! Hao ndio ninaowataka😁
Serious, nakula sana nasikia couples wanakula sahani moja maybe tutakuwa tuna ongeza nae mara 3-4 😅.Kg 1 ni uongo, kunywa smoothie zenye peanut, lala mchana, kula fats, kula ngano ya tbl, utaanza kuona kitambi soon..
Sawa sawa 😅Mi naringa ringa, we endelea kuwataka hao 😅
Wanakula hivyo siku za mwanzoni tu, baadae kila mtu anazoea anataka apige plate zima mwenyewe🤗Serious, nakula sana nasikia couples wanakula sahani moja maybe tutakuwa tuna ongeza nae mara 3-4 😅.
Sio mbaya, kwanini husinzii?sijawahi kunywa bia, I don't smoke, usingizi ndio hivyo wa kuiba Sana.
Ndio nilivyo, labda nipige sleeping pills.Wanakula hivyo siku za mwanzoni tu, baadae kila mtu anazoea anataka apige plate zima mwenyewe🤗
Sio mbaya, kwanini husinzii?
Duhh sio kwamba ni tatizo hilo? Sleeping pills si zinakufanya uwe mraibu ukizizoea, jitahidi kula mabilinganya! Zamani kwa sabu ya stress, nilikuwa mpk nile bia moja ndio napata usingizi..Ndio nilivyo, labda nipige sleeping pills.
Sinywi kila siku, ni mpaka nitake kusikia usingizi mnono, Nakunywa maziwa, ndizi siku nyingineDuhh sio kwamba ni tatizo hilo? Sleeping pills si zinakufanya uwe mraibu ukizizoea, jitahidi kula mabilinganya! Zamani kwa sabu ya stress, nilikuwa mpk nile bia moja ndio napata usingizi..
Anza kula bilinganya utanishukuruSinywi kila siku, ni mpaka nitake kusikia usingizi mnono, Nakunywa maziwa, ndizi siku nyingine